Ni ya Binti kutoka kwa Binti
Ukiwa na Oky,Hedhi ni murua
Huwapatia wasichana moja kwa moja habari kuhusu hedhi kwa njia nzuri, zenye
kufurahisha, Na za kiubunifu kupitia zana wanazozitumia kila siku mfano: simu za mkononi.
Oky huwawezesha wasichana kujidhibiti na kujiamini zaidi kwa kufuatilia hedhi zao, na kupata
habari ambazo wasichana wote wanapaswa kuzijua.
Pakua Oky
Kwa Android
Kwa Android
Kwa iOS
Kwa iOS