mambo@oky.co.tz
Kalenda yako inakuambia wakati unaoweza kutarajia hedhi yako kila mwezi! Unaweza kuchagua muonekano tofauti wa kalenda kwa siku au mwezi ili kupata utabiri unaokufaa. Kadri unavyofuatilia zaidi ndivyo utabiri wa hedhi ijayo itakavyokua sahihi zaidi. Kumbuka – ingawa Oky inaweza kutabiri siku lakini kutokana na uhalisia wa kua hedhi hubadilika, utabiri wetu hauwezi kua sahihi wakati wote.
Chagua rafiki wako wa oky kukuongoza kupitia app, na uchague mada yako ili kubinafsisha Oky yako! Unaweza kubadilisha rafiki wako wa Oky au mandhari wakati wowote utakaopenda.
Maarifa ni nguvu! Ensaiklopidia ya Oky ina kila kitu unachohitaji kujua kuhusu hedhi na mwili wako. Imejaa habari za kuaminika, zenye ubora, zote zimehakikiwa na wataalam wa afya wa ulimwenguni.
Chagua rafiki wako wa oky kukuongoza kupitia app, na uchague mada yako ili kubinafsisha Oky yako! Unaweza kubadilisha rafiki wako wa Oky au mandhari wakati wowote utakaopenda.